happy birthday christine ibrahim

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2010
Posts
15,145
Reaction score
5,574
Ndugu wana-MMU leo ni krismasi tunapokumbuka kuzaliwa kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo. Nawatakia kila la heri katika siku hii. Lakini vilevile ni siku ya kuzaliwa kwa mwana-jukwaa mwenzetu dada christine Ibrahim. Binafsi nimshukuru Mungu kwa afya njema na uzima ambao amemjalia huyu binti. Yeye mwenyewe anayajua maisha yake alikotoka na alipo leo. Ninachomuomba ni yeye kukaa na kutafakari ukuu wa Mungu maishani mwake. Kama bado hajaolewa namtakia kila la heri, kama bado hana kazi basi Mungu atende juu yake, pamoja na mipango mingine mingi maishani mwake. Unachotakiwa kufahamu christine Ibrahim ni kuwa Mungu atabaki kuwa Mungu na usikome kumuita maishani mwako. Zaidi christine Ibrahim washukuru wazazi wako kwa kukulea mpaka leo na ukumbuke na wewe kuwatunza ili utimize ile amri ya Mungu ya kuwatii wazazi wetu. Na mwisho christine Ibrahim kumbuka kuwapenda wote wanaokuzunguka kuanzia nyumbani mpaka JF. Kila la heri na sikukuu njema. Amen:israel:
 
Hongera sana kwa kufikisha miaka............Bwana azidi kukupa neema na fadhili siku zako za kuishi chini ya jua,ukamiliki malango ya adui zako na uzao wako wakamiliki malango ya adui zako,ukawe heri katika ya mataifa,Bwana akakulinde na mabaya uingiapo na utokapo tangu sasa na hata milele.....akakujalie haja za moyo wako...wooooote wenye mwili waseme...Amina.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…