Happy Birthday Cacico

Happy birthday cacico..... Mungu akujalie uishi miaka 100 zaidi
 
Last edited by a moderator:
Shkamoo bibi...nitakuja soon kukuletea ugolo na kukuamkua. Salaam kwa babu Asprin

HAPPY BIRTHDAY cacico!
 
Last edited by a moderator:
Japo nimechelewa,
but happy birthday bi dada.
mwaJ bado sijanuna
nipo sawa kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Hii post imejirudia mara mbili baada ya kuwa napata error kila nikipost. Invisible naomba msaada wa kuiunganisha please.
 
Last edited by a moderator:
Tena napenda sana cake mwaya
kwa hilo siwezi kununu kabisa. Bujibuji sina hata hamu naye
kuna mahali alinichakachua kura zangu
ntalia naye mwanzo mwisho.

Bora usinune mwaya maana ukinuna kwa sababu yangu na huyo mumeo Bujibuji akajua ntakoma mie! Tumekubakizia kipande cha cake.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday my sweet heart cacico, Halafu wee mwaJ unaleta kimbelembele, we ukiwa nani? Mpambe nuksi au mwanga? Mamndenyi, pole wee, usijione una mikosi, chama tawala ana janaba ndio maana mambo yako hayaendi.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday my sweet heart cacico, Halafu wee mwaJ unaleta kimbelembele, we ukiwa nani? Mpambe nuksi au mwanga? Mamndenyi, pole wee, usijione una mikosi, chama tawala ana janaba ndio maana mambo yako hayaendi.

We Bujibuji ishia zako huko! Unanisema kuwa nina kiherehere mbona wewe kama kweli cacico ni sweetheart wako haujakumbuka kumfanyia party mpaka mie nikukaribishe? Kwanza tungu lini kawa sweetheart wako? Subiri nikusemee kwa babu Asprin.
 
Last edited by a moderator:
we bujibuji ishia zako huko! Unanisema kuwa nina kiherehere mbona wewe kama kweli cacico ni sweetheart wako haujakumbuka kumfanyia party mpaka mie nikukaribishe? Kwanza tungu lini kawa sweetheart wako? Subiri nikusemee kwa babu asprin.
wamakonde wanasema "alichokupa mungu, ni cha kumemena"
kwani Asprin akipewa anakula anamaliza? Kwa taarifa yako, tukuyu haina makombo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…