[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Keki kama nnya
Halafu miaka 72 anatakiwa kufanya ibada muda wote sio kujaza harufu ya ugoro humu jukwaani.
Mungu katupa miaka 70 yeye ana 70+ bado ana log in!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂Keki kama nnya
Halafu miaka 72 anatakiwa kufanya ibada muda wote sio kujaza harufu ya ugoro humu jukwaani.
Mungu katupa miaka 70 yeye ana 70+ bado ana log in!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena nimemsogezea nyama za kutoshaUmeweka huo umri,binti unataka kumnyima nini!?
Mi nahisi ni mbaba ila katika uzee sidhani kama kafikiaHivi aka kashkaji hua nikazee kweli..???
Hungera kwa kuongeza mwaka mwingine mkuu!!