Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Tuimbe kwanza pamoja kisha tutaingia wenye maombi .....
halafu pacha Lady doctor
uwe unanishtua kwny minuso kama hii jamani
c unajua nipo busy???!!hapy birthday Arabela!!
eti kwa nani nyonyonyonyo.......... Weee subiri uone nikitoka kwake naenda kwa yule mmasai wako, sema na yeye anaweka kauzibe kwa kuniita dada.....
Kuna nini hapa?
Jamani mtumishi nimefanya nini?
Haswaaaa ......
Paroko hebu nihabarishe kuna nini hapa?
tunakupenda pia dada
halafu pacha Lady doctor
uwe unanishtua kwny minuso kama hii jamani
c unajua nipo busy???!!hapy birthday Arabela!!
Kuna mkakati wa mama Lady doctor, miss neddy na Kaizer kututenganisha.
Kila mtu hapo ana nia yake. Lady analinda ndoa yake, miss neddy anakutaka na Kaizer anataka kuleta ubazazi wake kwangu. Amefikia kuukana ubazazi.
Kuna mkakati wa mama Lady doctor, miss neddy na Kaizer kututenganisha.
Kila mtu hapo ana nia yake. Lady analinda ndoa yake, miss neddy anakutaka na Kaizer anataka kuleta ubazazi wake kwangu. Amefikia kuukana ubazazi.
eti nini? miss neddy anamfanyaje paroko? Jamani huyu mtoto anaingia kichaka cha mama ake si aibu hiiii
Mwanyasi kwani harusi lini vileeeee? Arabela happy birthday kwa mara nyingine tena, naamini kulee tulikokufanyia ji party uli enjoyhappy birthday dada yangu, ujue nilitaka tuunganishe sherehe harusi & birthday party.
nakumbuka ulisema zitenganishwe ili tujipe nafasi ya kufurahia zaidi, leo kama kawaida nyumbani h kwa party.
cc: dada KOKUTONA
Kaizer tunakushukuru sana kwa kutubethdeishia mpendwa wetu Arabela, wana Arusha pia tulifurahi sana kwa ile party mliomuandalia pale BIG L, we enjoyed
Uishi maisha marefuArabela,
Ni mwaka nyingine
Siku nyingine
Saa nyingine
Kwamba uliletwa hapa duniani siku kama hii ya leo kutupa yoote ambayo umetupa..upendo wako hapa kila mwana CC mwandamizi anaujua....
lakini pia familia yako inayo sababu ya kuserebuka pamoja nasi tunapomshukuru Muumba kwa kukuoa tena zawadi ya pumzi ya uhai
Basi kwa niaba ya wake zangu AshaDii gfsonwin na DEMBA...lakini pia kwa niaba ya wana CC wandamizi kina Mtambuzi Asprin Mwanyasi Fidel80 Excel Heaven on Earth OLESAIDIMU nitonye Preta amu Zinduna mtu chake Arushaone Lady doctor na wengineo
Bila kuwasahau wana CC chipukizi kama ladyfurahia mshana jr OPERA MINI lara 1 na wengine na #teambazazi wote:thumbup:😛
TUNAKUTAKIA SIKU NJEMA YA KUZALIWA UWE NA MAISHA MAREFU NA YENYE BARAKA ZA MWENYEZI MUNGU.:thumbup:
Asante my dear Mtoto halali na hela...long time no see..mic uuuu