Arabela,
Ni mwaka nyingine
Siku nyingine
Saa nyingine
Kwamba uliletwa hapa duniani siku kama hii ya leo kutupa yoote ambayo umetupa..upendo wako hapa kila mwana CC mwandamizi anaujua....
lakini pia familia yako inayo sababu ya kuserebuka pamoja nasi tunapomshukuru Muumba kwa kukuoa tena zawadi ya pumzi ya uhai
Basi kwa niaba ya wake zangu
AshaDii gfsonwin na
DEMBA...lakini pia kwa niaba ya wana CC wandamizi kina
Mtambuzi Asprin Mwanyasi Fidel80 Excel Heaven on Earth OLESAIDIMU nitonye Preta amu Zinduna mtu chake Arushaone Lady doctor na wengineo
Bila kuwasahau wana CC chipukizi kama
ladyfurahia mshana jr OPERA MINI lara 1 na wengine na
#teambazazi wote:thumbup:
😛
TUNAKUTAKIA SIKU NJEMA YA KUZALIWA UWE NA MAISHA MAREFU NA YENYE BARAKA ZA MWENYEZI MUNGU.:thumbup: