Happy birthday Apologise lady

endelea kuzeeka tu,hamna namna tena mamii
 

Nisamehe sana Dada Angu kwa Kuisahau Siku Yako Ya Kuzaliwa... Sio kwamba Sijui hapana najua kwa kuwa ulinijulisha Mapema sana Siku tatu kabla Ya Siku Husika.

Sikufanya Makusudi Kutokuhudhuria Ama Kuto kukuwish furaha ya Siku Yako Ya Kuzaliwa bali Nipo Uziguani Huku nimekuja Mara Moja.

Kutokana Na Mtandao Kusumbua Nimejikuta nikishindwa kujoin Nawe katika Sherehe hiyo.

Nisamehe na naomba Unisamehe sana. Ingawa hatukuwa pamoja Siku hiyo lakini Natangaza rasmi kuwa Baada Ya Uchaguzi kuna Kitu nataka nikifanye kama Surprise Kwako...

Mungu Akulinde na Kukupa Afya na Maisha Marefu....

Naomba Usikilize Wimbo Wa I will Always Love You wa Whitney Huoston Uwe maalum kwako
 

Ujue nilikununia, kwa sasa nishakusamehe mdogo wangu, Asante sana, ubarikiwe.
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…