Happy birthday Apologise lady

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2010
Posts
15,145
Reaction score
5,574
Wapendwa wana MMU leo tarehe 15/10/2015 ni siku ambayo mdau mwenzetu dada Apologise lady anakumbuka siku yake ya kuzaliwa.

Tunafahamu kuwa kwa kila binadamu hii ni siku muhimu sana maishani hasa kutokana na kuwa ni siku ambayo mtu anapiga hatua moja mbele kiumri. Lakini pia ni siku ambayo binadamu anakaa na kutafakari maisha yake "alikotoka na anakokwenda".

Basi sote tuchukue hatua ya kumtamkia maneno ya HERI mwenzetu huyu ili MWENYENZI MUNGU azidi kumpigania katika maisha yake yeye na familia yake siku zote za uhai wake.

Neno langu kwa Apologise lady ni moja tu, aendelee kutambua na kutukuza ukuu wa MUNGU maishani mwake kila inapoitwa leo.
 
hbd lady, uwepo wako kwenye dunia na forum hii ni baraka kwetu, long live mom!
 
HBD dear...this is only moment huwa nawaita watu dear
 
akhsante mume wake wa kutupa taarifa. vipi sherehe mnategemea kuifanya wapi ili tuokoe gharama za chakula kwa siku nzima ya leo kwa kuzamia?
 
Heri ya siku ya kuzaliwa mwanamabadiliko mwenzangu Apologise lady.
Nafurahi ya kwamba umezaliwa siku moja na kipenzi changu....
Hongera kwa kuuanza mwaka mwingine mpya,Mungu akupe afya njema na uishi maisha marefu.
 
Last edited by a moderator:

Asante cleverbright kwa kutambua nafasi yangu kwa Apologise lady

Nimemuandalia huyu laazizi wangu surprise ya nguvu Zenji tuko huku tukila maraha, karibu ujumuike nasi
 
hivi kumbe na wewe una mpenzi? ubaya wote huo! hapa kazi tu.
 
Heri ya siku ya kuzaliwa mwanamabadiliko mwenzangu Apologise lady.
Nafurahi ya kwamba umezaliwa siku moja na kipenzi changu....
Hongera kwa kuuanza mwaka mwingine mpya,Mungu akupe afya njema na uishi maisha marefu.

Asante mamito
 
Last edited by a moderator:

Happy birthday miss Apologise lady

hbd lady, uwepo wako kwenye dunia na forum hii ni baraka kwetu, long live mom!

HBD dear...this is only moment huwa nawaita watu dear

akhsante mume wake wa kutupa taarifa. vipi sherehe mnategemea kuifanya wapi ili tuokoe gharama za chakula kwa siku nzima ya leo kwa kuzamia?

Hongera kwa kutimiza miaka 40.

Hongera....

Happy Born Dei.

Asante cleverbright kwa kutambua nafasi yangu kwa Apologise lady

Nimemuandalia huyu laazizi wangu surprise ya nguvu Zenji tuko huku tukila maraha, karibu ujumuike nasi

Athante sana sana wapenzi.
cleverbright ukuje mtaa wa ufipa ndio tunakata cake jioni kisha twaenda zenji.

Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…