Hello floor no. 31
Tarehe kama ya Leo Amadala aliivuta pumzi ya Duniani kwa mara ya kwanza.
Nashukuru Mungu na wazazi wangu kwa kunifikisha hapa nilipo.
Asante Mungu kwa ajili ya Kila kitu katika maisha yangu.
HAPPY BIRTHDAY TO ME🎂🍭
Nimeona nijipost maana walionikumbuka Leo ni HALOTEL peke yao
View attachment 2276198