Happy bday to me brenda18

Happy bday to me brenda18

brenda18

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
5,687
Reaction score
5,297
Asanteni wote mlioniwish kwa pm na kwingineko....siwezi kujibu moja moja ila nawashukuru sana kwa wishes zenu
Miaka mitatu sasa jf,mmekua kama familia...nimepata baba,mama,kaka,Dada na marafiki,kunisaidia katika shida na raha nawashukuru sana na Mungu awabariki
Tusameheane pale tunapokwazana
Nawapenda wote😘😘😘😘😘😘
 
[QUOTE =brenda18;13664659]Asanteni wote mlioniwish kwa pm na kwingineko....siwezi kujibu moja moja ila nawashukuru sana kwa wishes send
Miaka mitatu sasa jf,immediately kama familia...nimepata baba,mama,kaka,Dada na marafiki,kunisaidia katika shida na raha nawashukuru sana na Mungu awabariki
Tusameheane pale tunapokwazana
Nawapenda wote😘😘😘😘😘😘[/QUOTE]

Asanteni wote mlioniwish kwa pm na kwingineko....siwezi kujibu moja moja ila nawashukuru sana kwa wishes zenu
Miaka mitatu sasa jf,mmekua kama familia...nimepata baba,mama,kaka,Dada na marafiki,kunisaidia katika shida na raha nawashukuru sana na Mungu awabariki
Tusameheane pale tunapokwazana
Nawapenda wote😘😘😘😘😘😘
 
Happy b'day Brenda. If you wasn't pushing brothers away, i woulda wished you a great b'day se...damn! where's manners? Smh!

Hahaha. Stay blessed.
 
Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Brenda..
 
Hbd, kumbe we team leoo, wakali sana nyie.
 
Heri ya maadhimisho ya kuzaliwa kwako brenda18
 
Last edited by a moderator:
Asanteni wote mlioniwish kwa pm na kwingineko....siwezi kujibu moja moja ila nawashukuru sana kwa wishes zenu
Miaka mitatu sasa jf,mmekua kama familia...nimepata baba,mama,kaka,Dada na marafiki,kunisaidia katika shida na raha nawashukuru sana na Mungu awabariki
Tusameheane pale tunapokwazana
Nawapenda wote😘😘😘😘😘😘

Happy Birthday Dear.. May the Lord grants all your Holy heart desire in Jesus name.. Amen.. HBD....Thanks..
 
Tamaduni Zetu Waafrika Zinakufa Watu Tunashabikia Za Wenzetu, Mi Naona Mambo Ya Watu Wazima Kushabikia Happybirthday Ni Ya Kitoto Sana
 
brenda18 hata kunialika mama? Happy belated birthday dear.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom