J joyce mngongo JF-Expert Member Joined Dec 29, 2016 Posts 890 Reaction score 972 Sep 14, 2017 #61 Nyie ndo msiojulikana.ila mko njiani kujulikana,mtakatwa bila ganzi.kusanyeni tu hasira za mnaowaonea,kuwatukana,kuwadhalilisha mkijua mwisho upon.hamtafanya haya milele,nani aliahidiwa umilele wake duniani? Bd ya Mbowe nyie inawahusu nini ? Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndo msiojulikana.ila mko njiani kujulikana,mtakatwa bila ganzi.kusanyeni tu hasira za mnaowaonea,kuwatukana,kuwadhalilisha mkijua mwisho upon.hamtafanya haya milele,nani aliahidiwa umilele wake duniani? Bd ya Mbowe nyie inawahusu nini ? Sent using Jamii Forums mobile app