Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,862
- 67,353
Happy bday Cristiano Ronaldo kwa kutimiza miaka 31 leo, lakini je mwisho wa zama zake umefika? Katika umri huu wa miaka 31 si shaka kwamba umri unasogea na hata ubora unaanza kushuka taratibu, hasa wakati huu ambapo mpinzani wake mkubwa, Lionel Messi akiwa katika ubora wa juu pale Barca.
Je zama za Ronaldo zimefika mwisho? Nadhani jibu utakuwa nalo mdau, ila binafsi najivunia kuweza kumshuhudia Ronaldo mmoja kama wachezaji bora zaidi Ulimwenguni kando ya Lionel "Leo" Messi Messiah Lapulga!