J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,599 Dec 9, 2023 #1 Nikutakie kheri katika kumbukumbu ya Hii tarehe uliyobatizwa mh Freeman Mbowe Ni hilo tu Mungu wa mbinguni akubariki sana π
Nikutakie kheri katika kumbukumbu ya Hii tarehe uliyobatizwa mh Freeman Mbowe Ni hilo tu Mungu wa mbinguni akubariki sana π
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 25,977 Reaction score 25,303 Dec 9, 2023 #2 Tanganyika....
Etwege JF-Expert Member Joined Jul 4, 2018 Posts 7,784 Reaction score 19,393 Dec 9, 2023 #3 Amezeeka sasa aachie ngazi
M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 7,235 Reaction score 4,343 Dec 9, 2023 #4 johnthebaptist said: Nikutakie kheri katika kumbukumbu ya Hii tarehe uliyobatizwa mh Freeman Mbowe Ni hilo tu Mungu wa mbinguni akubariki sana π Click to expand... Huyu mzee cdm wanamwamudi hadi nyumba yake wanaisambaza kwenye mitandao
johnthebaptist said: Nikutakie kheri katika kumbukumbu ya Hii tarehe uliyobatizwa mh Freeman Mbowe Ni hilo tu Mungu wa mbinguni akubariki sana π Click to expand... Huyu mzee cdm wanamwamudi hadi nyumba yake wanaisambaza kwenye mitandao
M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 7,235 Reaction score 4,343 Dec 9, 2023 #5 Etwege said: Amezeeka sasa aachie ngazi Click to expand... Wewe nadhaji hajui kuwa cdm ni kampuni ya ukoo wa akina mbowe? Hivi unadhaji hela anayopata kupitia hii kampuni hata ungekuwa ni wewe usingeweza kuachia kampuni watu usiowajua
Etwege said: Amezeeka sasa aachie ngazi Click to expand... Wewe nadhaji hajui kuwa cdm ni kampuni ya ukoo wa akina mbowe? Hivi unadhaji hela anayopata kupitia hii kampuni hata ungekuwa ni wewe usingeweza kuachia kampuni watu usiowajua
M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 7,235 Reaction score 4,343 Dec 9, 2023 #6 johnthebaptist said: Nikutakie kheri katika kumbukumbu ya Hii tarehe uliyobatizwa mh Freeman Mbowe Ni hilo tu Mungu wa mbinguni akubariki sana π Click to expand... Huyu mzee pamoja na majinga yake mengi ana kitu kimoja tu ambacho walu kinamtofautisha yeye dhidi ya kikundi anachokiongoza
johnthebaptist said: Nikutakie kheri katika kumbukumbu ya Hii tarehe uliyobatizwa mh Freeman Mbowe Ni hilo tu Mungu wa mbinguni akubariki sana π Click to expand... Huyu mzee pamoja na majinga yake mengi ana kitu kimoja tu ambacho walu kinamtofautisha yeye dhidi ya kikundi anachokiongoza
M Mkirindi JF-Expert Member Joined Mar 2, 2011 Posts 6,752 Reaction score 4,974 Dec 9, 2023 #7 Siku hizi watu wanasherehekea BAPTISM DAY. Haya mapya
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,184 Reaction score 42,863 Dec 10, 2023 #8 johnthebaptist said: Nikutakie kheri katika kumbukumbu ya Hii tarehe uliyobatizwa mh Freeman Mbowe Ni hilo tu Mungu wa mbinguni akubariki sana [emoji3] Click to expand... Pro chawa,mtakuja na siku ya happy first mgegedo
johnthebaptist said: Nikutakie kheri katika kumbukumbu ya Hii tarehe uliyobatizwa mh Freeman Mbowe Ni hilo tu Mungu wa mbinguni akubariki sana [emoji3] Click to expand... Pro chawa,mtakuja na siku ya happy first mgegedo
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,909 Reaction score 53,905 Dec 10, 2023 #9 jiwe angavu said: Pro chawa,mtakuja na siku ya happy first mgegedo Click to expand... Kunguni kabisa