Shkamooni Mr & Mrs Don Mangi! Siku zote nadhani wewe ni dogo mwenzetu kumbe mdingi! Tukutane mndenyi mnipe siri ya kuishi pamoja muda mrefu wakati tukipiga mbege na mbuzi. Msichelewe nauli itapanda mkuu! BTW Happy Anniversary!!!!
Fellows, nna furaha leo ni kumbukumbu ya harusi ya baba na mama don mangi, like 30 years ago, nina furaha na kila sababu ya kumshukuru Mungu.
I grab this opportunity to thank God and to toast for their health and everlasting happiness.
(raising a glass): To baba na mama don Mangi.
Babu, ni wazazi wangu ndo wenye hiyo Anniversary.