Wanasiasa ndio wanasababisha yote haya, wanachochea machafuko, tunaanza kupigana sisi kwa sisi, mwisho wa siku wao na familia zao wanakimbilia ughaibuni na kutuacha tukipambana na matatizo kama haya! Ukimuona mwanasiasa anayependa mchochezi kaa naye mbali sana!