Haponi mtu kwa style hii...

Mi nina video yake asee, huyo mpiga picha alipata tabu sana maana alikuwa anauliza maswali ya hovyo hovyo tu.

Hapa kama una mkeo na kakufuma na haka katoto aamini nakwambia atakusamehe maana atajua ulizidiwa (simaanishi nikisemacho)
Humaanishi ila utatenda..
 
Katulia tuliiii. Asingempata mengi ungeona anahangaika team wema team joketi team mavi etc
 
Mwambie bhana,K lyn ilikuwa chakula ya Mr Blue
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…