Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
Habari zenu wana MMU
iko hivi hapo mwanzo mimi na mpenzi wangu tulikua tukichart na kupigiana simu vizuri tu
lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nikimpigia simu lakini hapokei sim yangu
na
ninapomtumia sms hajibu lakini cha kushangaza
kila anapotaka kulala usiku
ananitumia sms inasema
"i love u so much hney & have a good 9t and nice dreams"
nifanyeje ili nitatue tatizo hili wapendwa.,
na mimi bado nampenda sana
Hujawahi kuambiwa hilo neno na still akapendwa mwenzio? asikushughulishe hilo neno sikuizi limekua kama jina la Kanga,Habari zenu wana MMU
iko hivi hapo mwanzo mimi na mpenzi wangu tulikua tukichart na kupigiana simu vizuri tu
lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nikimpigia simu lakini hapokei sim yangu
na
ninapomtumia sms hajibu lakini cha kushangaza
kila anapotaka kulala usiku
ananitumia sms inasema
"i love u so much hney & have a good 9t and nice dreams"
nifanyeje ili nitatue tatizo hili wapendwa.,
na mimi bado nampenda sana
How old are you???!!!
Sepa, kakuchoka na hana mpango na wewe.Unampendaje mtu asiyekupenda? Au hujui maana ya watu kupendana.
Kwasababu huna "kipaji"