Mbilikimo Mfupi
JF-Expert Member
- Nov 11, 2015
- 985
- 1,241
Ninategemea kupata mkopo 50m mwezi ujao kutoka "kikoba" fulani na ninategemea kufanya yafuatayo
Chenji naweka heshima mtaani.
Naomba kukosolewa na kiboreshewa mawazo
- Nitanunua Bajaj 2 ( moja Nampa kaka aendeshe maisha nyingine nitabaki nayo) gharama ni 12m
- Kufungua saloon simple ya kiume 2m
- Nitampa wife 0.5m atoe mtero buzi lake [emoji23][emoji23]
- 5m fixed akaunt kwa mwaka
- Duka la madawa baridi 5m
- 10m nitaendeleza boma lilipo kwa ajili ya kupangisha
Chenji naweka heshima mtaani.
Naomba kukosolewa na kiboreshewa mawazo