Tanzania Mpya JF-Expert Member Joined Apr 11, 2012 Posts 252 Reaction score 145 Nov 16, 2012 #21 Mbagala, wamekata dk 10 zilizopita! Tangu asubuhi haukuwepo wakarudisha saa 11:30 jioni, na muda huu wameshakata!
Mbagala, wamekata dk 10 zilizopita! Tangu asubuhi haukuwepo wakarudisha saa 11:30 jioni, na muda huu wameshakata!
Makala Jr JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 3,395 Reaction score 1,112 Nov 16, 2012 #22 Mwanza maeneo ya nyegezi giza nene!
B bidada Senior Member Joined Jan 12, 2012 Posts 127 Reaction score 65 Nov 16, 2012 #23 Hata maeneo ya bora wamekata muda huu, hivi Tanesco ina nini, kwanini isituambie wateja wake, kwa kweli inaudhi sana.
Hata maeneo ya bora wamekata muda huu, hivi Tanesco ina nini, kwanini isituambie wateja wake, kwa kweli inaudhi sana.