Hapo ilikuaje kwani?

jamaa baada ya kulewa akiwa katika harakati za kumchapa mtoto, mama alijifanya kumsaidia mwanae lakini jamaa ameamua kuwatundika wote.
 
Jamani katoto kalivyoshikwa! Men like that deserve to rot in jail! Because kilichofuata pale we can all tell ni kipigo tu!
 
Mnisamehe watu wa Musoma lakini huyu baba atakuwa ana asili ya huko!
 
huyu mlevi tu na masikini. halafu ni mkurya
 
hii picha isha zunguushwa sana humu jamvini. Leta jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…