Hapo chacha

Hapo chacha

Your so recognizer,but give me answer to pleasant me.

Samahani ujue tuliosoma ngumbalo miaka ile tunashida Na kiingereza naomba maana ya hili neno pleasant me tafadhali niimarishe kuzungu changu Asante
 
nimelikumnbuka tangazo la "is this good supply limited? Mimi ni Maimuna. Can talk to the director? Subiri !! Ahh!** ongea naye wewe
Siumwambie tu ukweli, Zeee,,ze ..ze zeze englisi iz ze ze kubendibendis inifwakiti iz kupindaring.
 
Samahani ujue tuliosoma ngumbalo miaka ile tunashida Na kiingereza naomba maana ya hili neno pleasant me tafadhali niimarishe kuzungu changu Asante

Hahahaha, hapo ni mambo ya lugha gongana, kaandika kiingilishi
 
Back
Top Bottom