ukilia ndio wanakuja, si unaona wazungu wametulia utadhani wanyama wenzaoWazungu na imani zao za kijinga jamaa lazima atakuwa kashiba..mimi ningekuwa nalia sa hiyo maana najua kifo kiko mbele..
Wazungu na imani zao za kijinga jamaa lazima atakuwa kashiba..mimi ningekuwa nalia sa hiyo maana najua kifo kiko mbele..
We sema hana madhara! Kutana nae ujinyeee,,, mnyama yeyote anaekula nyama ni hatari,,,,! hizo n picha za kutengezwa
We sema hana madhara! Kutana nae ujinyeee,,, mnyama yeyote anaekula nyama ni hatari,,,,! hizo n picha za kutengezwa
Duma ni warefu wembamba, nguvu chache,kilo ndogo tofauti na chui ambao wana kilo nyingi, mwili mkubwa kiasi na nguvu za kutosha.Mi nimeshindwa kutofautisha duma na chui mbona kama wako sawa?