Hapo anayefaidi ni nani?

mawazo ya kishoga hayo mwanaume rijali huwezi kufikiria nani anafaudu kwa kuangalia picha hiyo

Aliwazalo mtu ndio huwa...! Kwanini usiwaze kuwa aliyeko katikati ndio anafaidi kwakuwa anabalance kotekote?
 
Labda neno kufaidi ndio limeleta tafsiri usioitaka.
 
Shori kama afanyavyo kaka yako BOFLO!!!

Hiyo "shori" ni nini? mimi ni FaizaFoxy, kama unaanza name calling, ujuwe kuwa JF kuna kanuni za name calling.

Ukirudia, nna report abuse - kumbuka hilo.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapo wanafaidika na nini?! Ni kujihatarisha bure tu! Huu ni mtura wala sio mshikaki.
 
Hiyo "shori" ni nini? mimi ni FaizaFoxy, kama unaanza name calling, ujuwe kuwa JF kuna kanuni za name calling.

Ukirudia, nna report abuse - kumbuka hilo.

Tulia acha kulia lia acha dawa ikuingie taratibu!! SHORI maana yake mwanamke wa tabia yako huko BK7!!! Haya sasa nenda kanishitaki uone kama invisible atanifungia!!
 
Wa nyuma kabisa ndo anafaidi yeye ala lakini haliwi
 
Tulia acha kulia lia acha dawa ikuingie taratibu!! SHORI maana yake mwanamke wa tabia yako huko BK7!!! Haya sasa nenda kanishitaki uone kama invisible atanifungia!!
Invisible, Paw, PainKiller

Kulikoni? na hii harassment mnaiachia tu?
 
Last edited by a moderator:
Anafaidi mwendesha Pikipiki hiyo hasa kama siyo yake, anaichosha ile hali jioni anakabidhi kwa bosi kiwango kile kile as na ambavyo angebeba 1
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…