Hapi basidei Mzee wa Kaya

i411

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
906
Reaction score
297
Haya jamani Mzee wa Kaya kafikisha miaka 61 hivyo mtumieni hapi basidei yake aeendele kupata maisha bora na aendeleze yale maisha bora kwa kila mtanzania
 
Mungu amlaani kwa kutufikisha hapa tulipo.
 
Haya jamani Mzee wa Kaya kafikisha miaka 61 hivyo mtumieni hapi basidei yake aeendele kupata maisha bora na aendeleze yale maisha bora kwa kila mtanzania

Kwamba anapiga sana KAYA, siyo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…