Mdudu Wa Masala
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 134
- 79
Jamaa karudi toka job
mpole!
MKE: vipi leo mbona
mapema na mpole?
MUME: ofisi yetu imeungua
na watu wote wamekufa,
MKE: ilikuwaje wewe
ukapona?
MUME: nilikuwa chooni,
jirani na ofisi najisaidia.
MKE: Loh masikini familia na
zao itakuwaje?
MUME: watalipwa milioni
900 kila mfiwa.
MKE KWA HASIRA: ona sasa
na wewe kunya kunya
kwako umetukosesha
mihela..ungeenda kunya
akhera...... Duuuuuuhhh
mpole!
MKE: vipi leo mbona
mapema na mpole?
MUME: ofisi yetu imeungua
na watu wote wamekufa,
MKE: ilikuwaje wewe
ukapona?
MUME: nilikuwa chooni,
jirani na ofisi najisaidia.
MKE: Loh masikini familia na
zao itakuwaje?
MUME: watalipwa milioni
900 kila mfiwa.
MKE KWA HASIRA: ona sasa
na wewe kunya kunya
kwako umetukosesha
mihela..ungeenda kunya
akhera...... Duuuuuuhhh