Hapana, kwahilo sithubutu

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
11,080
Reaction score
12,319
Mambo vipi wadau? Naimani mko poa. Hivisasa mmerudi kwenye miangaiko ya kulijenga Taifa letu pendwa. Leo mwenzenu limenikuta jambo ambalo ckutegema linikute maishani mwangu, nikaona sivibaya nililete janvini labda naweza pata mawazo mbadala na yale ninayo waza. Bila kupoteza muda, mimi ni mume wamtu nilie dumu kwenye ndoa takribani miaka mitano ( 5 ) katika ndoa yangu nimebahatika kupata mtoto mmoja. Nathubutu sema kua mkewangu ni mrembo sana, lakini sijui nini kinanifanya nitoke nje ya ndoa yangu. Sasa ktk tokatoka yangu nikaangukia ktk penzi la mama mwenye nyumbaangu. Nikawaida kila siku tuna kutana sehem tunayo ijua wenyewe na kumkufulu mungu huko. Tulianza kama maskhara mpaka sasa penzi limeota mizizi. Sasa hapa juzi mke wangu amesafiri kwenda kwao kusalimia ndugu na jamaa, hapa nyumbani katuacha mimi na mwanetu na mdogo wake wa kike ( shemeji ) mwenye umli wa miaka 16, ambaye anasubiri majibu ya 4m 4. Sasa yule mama mwenye nyumba akaona huu ndio muda wa kufaidi ma penzi yetu. Juzi akaniita chumbani kwake nika ingia huko tukafanya tulio fanya baada ya kumaliza akaniomba tuende chooni tukajimwagie. Kimbwanga kilinikuta muda ambao tulikua tuna toka chooni, usakwa uso na shemeji yangu. Kwakweli nili fedheheka sana kalibu kuzimia. Bila wasiwasi shemeji alitupisha sisi tuna toka yeye anaingia ( chooni ) Nilivyo toka pale moja kwa moja mpaka chumbani kwangu, nikawa najiuliza nitajiteteaje kwa shemeji yangu? Nikiwa nime zama kwenye mawazo mara mlango ukagongwa, nika fungua kujua ninani, kumbe alikua shemeji, kabla cja muuliza kuli koni nilshtuka kesha pita mpaka ndani. Namimi nikaji sogeza taratibu kumsikiliza. Akaanza kuni uliza nilikua na fanya nini na yule mama, nikawa sina jibu zaidi ya kujingata meno tu huku nikihofu asije kumuambia dadaake. Chakushangaza akaniambia kua vyote nilivyo kua na fanya na yule mama aliviona, tena tangu naingi chumbani kwa yule mama yeye alikua akini chungulia kupitia mlangoni mwake, kwa hiyo akaniomba ili asimwambie dada yake, nibora na yeye nimpe. Kwakweli nilizidi kupagawa sana, tena kwa mambo mawili kwanza ni shemeji yangu pili yeye bado ni mtoto tena mwana funzi. Kilichotekea nika muadaa kua kesho, ambayo ndio leo nita mjibu, nikijua labda nikimnunulia zawadi ataachana na mawazo yake. Kwashingo upande aka kubali. Leo nimerudi toka kazini yeye ndio wakwanza kuniulizia jibu lake, nivipi nime mkubalia au vipi. Kwakweli sijielewi nifanyeje, ikiwa ndani ya nafsi yangu sikubaliani nae, kwakweli siwezi, tena siwezi. Mtoto mdogo nimvulie chupi yangu? Aaa wapi? Lakini je akimwambia dada yake siku akirudi? Nahisi patakua hapatoshi. Ivisasa binti yuko chumbani kwake anasubili watu walale ani tokee.
 
Kama umeamua kutenda dhambi basi itende kweli ili hukumu ya dhamira inayoanzia duniani ikutafune.
::
Kuna makosa mengine tunayafuata na kuna mengine yanatufuata.Ktk hali uliyonayo ni wazi umefuata (si jambo la nasibu) na unafurahia.
::
Jihadhari AIBU ni mzigo mzito kwa mwanamke,mkeo akijua,,hiyo nyumba utaiona kama mahakama ya Kisutu
=
 
Aaaaaaah! Wapi! Mwambie mkeo mdogo wake anakutaka! Baaaaaaaaaaaaass! We muhadae akutumie sms za kimahaba ndo ushahidi huo, msemehe kwa mkeo, mpe ushahidi!

Huyo shem hata akija kusemelezea ataonekana mnafiki na maneno ya mkosaji! Anaewahi Kushtaki Polisi ndo Mwenye Haki! Anaekuja nyuma hata kama ana haki anatupwa ndani maana anakuta RB inamngoja!
 
Wife akirudi jishtaki,muombe msamaha na usimuahidi kutorudia tena bali usifanye tena hayo mauzauza,kisha subiri maamuzi ya wife. Ana haki ya kuamua lolote kwa wakati huo kwakuwa umemkosea. Akifanya maamuzi yoyote yenye kuhatarisha ndoa,ongea nae kwa kurejea vitabu vya dini mnayoamini. Ikishindikana shirikisheni wa busara zaidi. Never cheat again!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hukuyajua hayo yote kabla ya kutenda?kumbe muoga eeh,ukae ukijua ipo siku mke wako atajua.jitayarishe kwa hilo,wewe endelea kujiingiza kwenye shimo
 

Tatizo akiingia hapa nimdanganye vipi? Maana jielewi elewi kwakweli.
 
Jiulize yafuatayo:
1:hutaki kwasababu unamuona mtoto au kwasababu ni shemeji yako???
2: je una uhakika kwamba ni mtoto?
3: kama ni mtoto amejuaje kuomba alichokuomba??na kama sababu ni shemeji hilo swala la ushemeji unalijua peke yako yeye hajui kama wewe ni shemeji yake, mume pekee wa dada yake??

LA muhimu hapo wewe ni mwanaume umemzidi kila kitu, msomeshe uachane naye...ukijaribu kumpa akanogewa!!! utaleta thread mpya hapa...

Ni hayo tu mkuu..
 

Mkuu kwakweli mkewangu na mpenda kweli. Cjui itakuaje akiamua kunimwaga. Amakweli huyo anaeitwa nyege yatufaa tumuogope sana.
 

Pole kwa mkasa ulio kukuta ila bado najiuliza umedumu kwenye ndoa miaka 5 bado unafuata wanawake wa nje?Hayo ni madhaifu makubwa sana NA YANATOKANA NA KUACHA MAFUNDISHO YA MWENYEZI MUNGU.Hata hivyo nakushauri uachane na huo uasherati haufai,jambo la msingi ni kutubu makosa uliyofanya mbele ya mke wako, pia mbele za Mungu wako.USIFICHE DHAMBI OMBA TOBA YA KWELI

USHAURI KWA MAANDIKO


Najua unaweza kuwaza kumficha mkeo asijue umezini, lakini unaweza kwenda wapi utakakojificha Mungu asikuone? Soma Zaburi ya 139:7-13. Na imeandikwa:-

Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema. (Mithali 28:13)

Ukifuatilia habari za Mfalme Daudi, utaona ya kuwa kitu alichokifanya baada ya kuanguka katika zinaa na mke wa mtu, ni kujitahidi kutafuta namna ya kuifunika hiyo dhambi, lakini alishindwa. Na mwisho wake aliamua kutafuta mbinu ya kumuua Uria, ambaye mke wake ndiye aliyezini na Mfalme Daudi. Unaweza ukaona ya kuwa ni kweli kwamba uzinzi huondoa ufahamu za mtu. Kwa nini Mfalme Daudi aliamua kuua ili alifiche kosa alilofanya?

Je! Alidhani Mungu naye hajamwona? Mungu aliinua mtu wake, ambaye alikwenda kwa Mfalme Daudi na kumweleza jinsi Mungu alivyochukizwa na kitendo hicho. Daudi alipojua dhambi iko wazi mbele za Mungu alitubu!

“Bwana asema hivi, Angalia, nitakuondoshea uovu katika nyumba yako, nami nitawatwaa wake zako mbele ya macho yako, na kumpa jirani yako, naye atalala na wake zako mbele ya jua hili.

Maana wewe ulifanya jambo hili mbele ya Israeli wote na mbele ya jua. Daudi akamwambia Nathani, Nimemfanyia Bwana dhambi. Nathani akamwambia Daudi, Bwana naye ameiondoa dhambi yako; hutakufa. LAKINI, KWA KUWA KWA TENDO HILI UMEWAPA ADUI ZA BWANA NAFASI KUBWA YA KUKUFURU, motto atakayezaliwa kwako hakika yake atakufa.” (2 Samweli 12:11-14)

Ni kweli kwamba unaweza ukafanya uzinzi kwa siri, Mke wako asijue, au mume wako asijue, au wazazi wako na ndugu zako wasijue, au waliookoka wenzako wasijue, Lakini, FAHAMU HAKIKA YA KUWA MUNGU AMEKUONA.

Na mshahara wa dhambi ni mauti, kwa hiyo kama unataka kudumu katika uzima uliopewa na Kristo, usijaribu kuificha dhambi.

Tubu, Tengeneza na Usirudie tena.

Ikiwa umeanguka katika dhambi ya uzinzi, njia iliyo wazi ni wewe kutubu kwa Mungu katika Roho na Kweli, halafu tengeneza (tubu) kwa wale uliowakosea na usirudie tena; na mwisho songa mbele katika wokovu aliokupa Bwana.

Kuna mtu mmoja aliniambia nimsaidie katika kumwombea Kwa kuwa kuna wakati alianguka katika zinaa, na baadaye akatubu. Lakini kila wakati yalikuwa yanamjia mawazo ya kuhukumu ya kuwa alizini na kwa hiyo anajiona hafai tena hata kuomba wala kuendelea na wokovu. Ingawa alitubu bado alishitakiwa Sana moyoni na kosa alilolifanya. Aliona Kama vile Mungu hajamsamehe.

Inawezekana na wewe ukasumbuliwa na hali ya namna hii. Nafahamu ya kuwa wanadamu ni wagumu kusamehe na kusahau, hata kama wanajua umekwisha tubu na kutengeneza.

Lakini nataka nikuambie hivi, usiupime msamaha anaokupa Mungu unapotubu kwa kuangalia na kusikiliza wanadamu wanasemaje juu yako; bali angalia neno lake katika biblia linasemaje. Imeandikwa hivi;

Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi anaye Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki, naye ndiye kipatanisho kwa dhambi zenu, wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote (1 Yohana 2:1,2)
 
Wataka ushauri ama nini acha ujinga piga mbunye hiyo miaka 16 mingi sana mtoto mkubwa kabisa huyo

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 


Aaah kweli wewe kubwa la maadui mjukuu............yaani kama jambazi:becky:
 
Piga mbunye ila tumia condom coz akipata mimba utakuja kutamani dunia ipasuke ikufukie na isiweze, hii itakuwa aibu ya mwaka.
 

hivi sasa ni saa kumi na moja kamili za alfajiri, naisoma thread yako baada ya kausingizi kupaa! vipi alikuja shem? ukagonga au alipitiwa na usingizi huko huko chumban kwake? ilibidi mwishon uandike itaendelea kesho baada ya event......ila mh ushalamba ww.
 
Tatizo akiingia hapa nimdanganye vipi? Maana jielewi elewi kwakweli.
weeh hujielewi tu mazima, wala usijipe homework. Na hiyo ni manufacturing error, usijichoshe. Waulize wanaume wenzio wanacheat vipi, miaka 20 ya ndoa mtu hadakwi hata na sms!
 
we hangaika wakati wenzako wanamhangaikia mkeo,

Muosha huoshwa mazee, USIUME MENO TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…