Wakuu,
nimepishana na DCM pale tegeta limejaa akina mama wametoa. makalio nje
ya dirisha wakiwa uchi kabisa(nasisitiza uchi kabisa) wanakatika makalio
yakiwa nje!
Imezuka taharuki kubwa hapa! ni msafara kama wa harusi!
Hii haikubaliki naomba askari wawakamate mara moja!
Labda umekutana na kanga moko wewe!
Kanga moko hiyo zimedondoka! kwa hiyo imebakia kanga null!Kanga moko huvaa kanga moja, sasa hawa wako uchi kabisa. Itakuwa jambo jingine kabisa. Au wamevamiwa na majambazi na kulazimishwa kuimba huku nguo zao wameshaziteka.