Mzee alienda kanisani kubatizwa alipotoka kwenye maji padri akamwambia “Sasa ewe ni kiumbe kipya,usinywe tena pombe na utaitwa Paul”. Alipofika nyumbani Paul akafungua friji akatoa bia ya T usker akaitumbukiza kwenye maji akasema “Wewe ni kiumbe kipya toka sasa jina lako ni Fanta Orange” [emoji3][emoji3]
......... [emoji23] [emoji23] [emoji482] [emoji482] [emoji481] [emoji481]