hapa yalikuwepo mapenzi kweli!!!!!!!!

Unaweza kuwa sahihi au na unaweza kutokuwa sahihi!Uko sahihi kwa sababu wewe ndo mwenye maamuzi na mwili wako!Unaweza husiwe sahihi kwa sababu hujatwambia nia ya mahusiano yenu ilikuwa ni nini?Alipokutongoza kwenye hiyo second date ukamkubalia alisema anahitaji nini?Wapo wanaume wako straight kabisa toka day 1 anataka yeye mgegedo,kama ulikubali na umeendelea kumzingua eti sijui yupo after sex umekosea,hujijui,ndiyo yuko after sex sababu ndo alichokuomba alipokutongoza na wewe ukamkubalia!Wewe ndo mwenye tatizo,toka siku ya 1 mnapotongozwa anapokwambia amekupenda anaomba mgegedo,kataa,sio baadaye uanze kumzungusha.
 
Yah,huwezi ukuwa unaharaka kiasi hicho mtu hata asishituke bado haujkubaliwa unaanza kuomba promise ya kutaka kula,umekubaliwa unaanza kutafuta chumba wakat hata train halijachanganya mwendo hata ungekuwa ww ndo mwanamke ungeshituka

on point
 
alichozungumzia yeye ni.ndoa ndio malengo, sasa kama misingi ya mahusiano ni mawasiliano mazuri na hayapo hiyo ndoa itatoka wapi!!!!
 

wewe nae ndio umekosea kabisa...this guy was honest about wat he wants....now u want to have a guy that pretends that he loves u and in the end he just f.ucks u and leaves u for dead....sasa next tym a guy u have feelings for asks for sex and he is open about his intetions just give it to him. atleast he is honest
 
i couldn't do it just because he was honesty, ha!!! We unaweza kubali kuchunwa just because mdada yuko honest kuwa kafwata pesa!!!!!!
 
Acha wivu, unataka agawegawe kwani imekuwa pipi!

Ulifanya vema sana mdada!
Umeonnaee!!!! Hizo mashine zao zingekuwa zinapungua kama vifutio wanavyopenda kuchovya chovya wengine wangekuwa hawana kabisa
 
unaanzaje kumvulia mtu hata hujamzoea raha ya mapenzi mzoeane kwanza ukiwa unalala na kila mmoja siku ya kwanza mnakutana si itakuwa balaa
 
Tukikuambia yalikuwepo utamrudia au tunatwanga maji kwenye kinu!??

Ntajifunza kitu back mtazamo utabadilika as long as bado ntaingia kwenye mahusiano tu
 
wengine hata hawajakutongoza wanaanza kuomba gemu au mwingine amekutongoza umemkataa lakini anakung'ang'ania uumpe tena anataka ukalale kwake kwa kweli wanashangaza sana
 
i couldn't do it just because he was honesty, ha!!! We unaweza kubali kuchunwa just because mdada yuko honest kuwa kafwata pesa!!!!!!

ofcoz why not? i appreciate honesty ile mbaya. the worst thing a person can do is play with my emotions. so kama anasema bwana papuchi yangu ni 1 million well then am down for that as long as najua hapa hamna future.

secondly no man and i mean no man atapata papuchi bila kuchunwa...be it airtime, dinner dates and gifts....so to me she is strait as an arrow nd i appreciate that.

sasa wewe wataka mie ni exercise patience kwako wakati unakuta demu mwenyewe nsio bikra clearly she herself failed to exercise patience...u gota be crazy!!! make me wait for a used pu.ssy sii unanga huo
 
unaanzaje kumvulia mtu hata hujamzoea raha ya mapenzi mzoeane kwanza ukiwa unalala na kila mmoja siku ya kwanza mnakutana si itakuwa balaa
Nisaidie na wewe lol, kwani haraka ya nini!!!!
 
how far are you sure Afrique is deflowered!!!!!!
 
wengine hata hawajakutongoza wanaanza kuomba gemu au mwingine amekutongoza umemkataa lakini anakung'ang'ania uumpe tena anataka ukalale kwake kwa kweli wanashangaza sana
As for me I don't give a damn!!!!
 
how far are you sure Afrique is deflowered!!!!!!

hahahaha a wise man once told me when someone turns a debate into a personal matter they have clearly run out of facts. pole
 
pole mumy,..mhh naye kazidi,fasta hvoo...usimpe aisee,kama unampenda make him wait jmn walau 3 ,months ama zaidi
Kumpenda nilimpenda ila with that speed I had to let him go my dear
 

Mshukuru Mungu ulimshtukia mapema. wengine ni majini wametumwa na waganga!! kama sio wagonjwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…