hapa yalikuwepo mapenzi kweli!!!!!!!!

hapa yalikuwepo mapenzi kweli!!!!!!!!

afrique

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
509
Reaction score
136
Heri ya mwaka mpya wanajamvi!!!!!
Mwenzenu nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja hivi, nilichoexperience ndio utata mtupu!!!!!!!
From the second date hata sijasema ndio, anawaza tu when are we going to sex!!!!
Nikaona duh!!! Sijui itakuwaje coz mi Nataka nimsome kwanza nimuelewe kabla ya mambo mengine.
Then came the third date hapo nimeshakubali, baby can i pay for a room!!!!"haaaa!!!!!!! hapana its too soon hata mwezi haujaisha!!!!
Kilichofuata tukawa hatuwasiliani for a week,solutions aliponitafuta tu anauliza when are we going to do it!!!!! Mh nikamzingua ,mawasiliano yakawa yakusuasua sana ila nikawa nimeshamsoma yuko selfish mno.
Katika kipindi hicho sijawahi kutaka chochote kutoka kwake in terms of cash mwisho nikaona what am i waiting for,mapenzi siyaoni kisa nimegoma kutanguliza sex.
Nikamwacha tu aende atakutana na wanaotaka pesa in exchange for sex hatakama mapenzi hayapo.
Mtizamo wenu ukoje great thinkers!!!! Nilikuwa sahihi kuona he was only after sex!!!!!!!
 
Hujakosea kabisa japokuwa hilo lilikuwa hitaji lenu....

Anataka kula kabla chakula hakijawekwa mezani
Mambo gani hayo??

Pole...!!!!!!!
 
Hahahahaaa chakula kilikuwepo ila alitaka kula bila kunawa!
 
Uko sahihi,kataa kabisa mwili wako usiwe punching bag.kila anaejisikia apigie hapo mazoez.
 
Heri ya mwaka mpya wanajamvi!!!!!
Mwenzenu nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja hivi, nilichoexperience ndio utata mtupu!!!!!!!
From the second date hata sijasema ndio, anawaza tu when are we going to sex!!!!
Nikaona duh!!! Sijui itakuwaje coz mi Nataka nimsome kwanza nimuelewe kabla ya mambo mengine.
Then came the third date hapo nimeshakubali, baby can i pay for a room!!!!"haaaa!!!!!!! hapana its too soon hata mwezi haujaisha!!!!
Kilichofuata tukawa hatuwasiliani for a week,solutions aliponitafuta tu anauliza when are we going to do it!!!!! Mh nikamzingua ,mawasiliano yakawa yakusuasua sana ila nikawa nimeshamsoma yuko selfish mno.
Katika kipindi hicho sijawahi kutaka chochote kutoka kwake in terms of cash mwisho nikaona what am i waiting for,mapenzi siyaoni kisa nimegoma kutanguliza sex.
Nikamwacha tu aende atakutana na wanaotaka pesa in exchange for sex hatakama mapenzi hayapo.
Mtizamo wenu ukoje great thinkers!!!! Nilikuwa sahihi kuona he was only after sex!!!!!!!

Hayatuhusu. This is your private business. Unajidhalilisha. Kama huna mada ya maana, soma michango ya wenzako. Usishushe heshima ya JF
 
Moyo wa mtu ni msitu mnene dada, nazani umenielewa, karibu twala
 
Hayatuhusu. This is your private business. Unajidhalilisha. Kama huna mada ya maana, soma michango ya wenzako. Usishushe heshima ya JF
Private business ni kitu gani?
Kujidhalilisha ni nini?
Mada ya maana ni ipi?
Kwa kipimogani unajua ya maana?
Heshima ya JF ni ipi?
 
Ulikuwa sahihi, uko sahihi na utaendelea kuwa sahihi
 
nimegoma kutanguliza sex. [/COLOR]
Nikamwacha tu aende atakutana na wanaotaka pesa in exchange for sex hatakama mapenzi hayapo.
Mtizamo wenu ukoje great thinkers!!!! Nilikuwa sahihi kuona he was only after sex!!!!!!!

say no to sex...
image10.jpg
 
Haukuwa sahihi kumbania jamaa kwa sababu hata kama angekaa kwa miezi 9 bila kuomba sex, bado mwisho wa siku mgefanya tu hakuna ajenda nyingine ya mwanaume kumfuata mwanamke zaidi ya kumvua bi***n, ungempa tu mwenzio alikuwa kesha zidiwa.

Na ili kujua kama yalikuwepo mapenzi lazima umpe ndo unajua kuna mapenzi, we hauwezi tu kuhoji kama yalikuwepo wakati haujampa mkayafanya hayo mapenzi.

Sijajua wewe ulikuwa unataka mapenzi tu au ulikuwa unataka mapenzo ya kweli, ebu niweke sawa hapa sijaelewa vizuri.
 
Back
Top Bottom