Hapo ni uwanja wa basketiboli naomba zawadi yangu lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
umekosa
Mnanikopilia.....🙄🙄🙄
Katika michezo ambayo siipendi duniani - kikapu namba moja(samahani kwa nitakaowakwaza) mchezo wa kikapu siupendi/siukubali/siuelewi na sihitaji kuuelewa, kifupi siupendi
Ndugu yangu sina nia mbaya, ni mchango wangu tu, na mimi najitahidi kutupia tupia michango japo na mimi idadi ya michango iongezekeHujalazimishwa kusema lolote lakini