Hapa Wapi Wajameni

Mandhari safi,nimepapenda.
Hakika Mbeya ni green city.
 
Ni tukuyu kuelekea stendi ya mabasi na upande wa juu ni ilipokuwa stendi ya mabasi ya railway
 
Hapo nadhani itakuwa ni Tukuyu...

Mbele kidogo hapo upande wa juu ni Chuo cha Ualimu Msasani na kushoto chini stendi kuu ya mabasi...
 
Swadaktaaaaaaaaa
hapo nadhani itakuwa ni tukuyu...

Mbele kidogo hapo upande wa juu ni chuo cha ualimu msasani na kushoto chini stendi kuu ya mabasi...
 
Tukuyu kumbe pazuri aisee
 
Japo Sijawahi Fika Nami Nijibu Tu Kuwa Ni Tukuyu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…