Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
Duh hii kali, Mulugo style
Teh teh teh! Division 5...Mulugo style indeed...
Nao wanashinda humu humu JF, huwafahamu mkuu?Walichoka bila shaka, wakashindwa kuwa makini
Hapana mkuu, kumbe, aiseeNao wanashinda humu humu JF, huwafahamu mkuu?
Wanafuatilia Bunge la Katiba na Ukawa...wakirudi utaona mambo yamebadilika na kuwa mazuri...Walichoka bila shaka, wakashindwa kuwa makini
MACCM yalianza kuchanganyikiwa mara tu baada ya kuanzishwa Mfumo wa Vyama vingi....Soma maelezo (caption) chini ya picha. Gazeti la Mwananchi...
View attachment 182692
Gazeti la UHURU...
View attachment 182693
Wanashinda kukopo na kupesti habari za humu. Sasa huyo dogo kaandikwa yupo 'DARASA LA TANO' shule ya SEKONDARI Ally Hassan Mwinyi.Nao wanashinda humu humu JF, huwafahamu mkuu?
Tena ni kukosa umakini kuliko pitiliza ambako hakuvumiliki....Wanashinda kukopo na kupesti habari za humu. Sasa huyo dogo kaandikwa yupo 'DARASA LA TANO' shule ya SEKONDARI Ally Hassan Mwinyi.
Ni kukosa umakini kwa wahariri
Tena ni kukosa umakini kuliko pitiliza ambako hakuvumiliki....
gazeti la uhuru ni janga la kitaifa tangu zamani