Hapa Vipi??

Kitakuwa kimeo chake tu si mnamjua ugonjwa wake lakini?
 
Heeee! Kumbe ukivaa vazi la taifa lazima uweke mikono mfukoni kama ma-model wa Mustafa Hassanaali?
 
Huyu kikwete alikuwa anatupa ujumbe gani kufananisha manguo na huyo mwanamke? yaani.
 
hatuna uhakika ila litujialao mawazoni kwetu ndio jibu.....kanafaa sana kwa kuliwa hata ingekuwa nisingekaacha kama ningepata furka ya kufanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…