Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 256
*HII IMENIGUSA by Mutakyahwa Kijoka (FB)*
*Kulikuwepo msichana kipofu
aliyechukia na kujichoka sana.*
*Alimchukia kila mtu isipokuwa mchumba wake. Mara zote alikuwa karibu naye.*
*Msicha huyo alimwambia mchumba wake, 'Kama ningebahatika kidogo
, ningekubali kuolewa na wewe.'*
*Siku moja, mtu ambaye hakumjua alimfadhiri macho 2.
Alipoondolewa bandeji kwenye vidonda na macho kupona kabisa, alifurahi kuona kila kitu, ikiwemo mchumba wake wa kiume.*
*Mchumba wake alimuuliza, sasa unaona kila kitu, ukubali kuolewa na mimi?'*
*Msichana Mwenye kuona sasa, alimgeukia mchumba wake na kugundua naye alikuwa Kipofu.
Ule mwonekano wa macho yaliyofumbwa kwa upofu,
yalimtisha msichana yule.
♂ Msichana yule hakutegemea hivyo. Ile fikra ya kuona mwinekano ule
wa upofu ulimfanya Msichana akatae
♂ kuolewa na yule mvulana kipofu
.*
*Mchumba wake aliondoka kwa kilio na baada siku chache badae alimwandikia Msichana huyo kijibarua ✍ ukisema: 'Yajali sana macho yako, rafiki yangu, si unaona sasa ni macho yako, hapo awali yalikuwa yakwangu.'*
*Hivi ndivyo ubongo wa binadamu yeyote kufanya kazi pale kipato, cheo au aina yoyote ya fursa pindi inapojitokeza.*
*Ni wachache tu hukumbuka maisha yaliyopita, na kukumbuka wale walikuwa karibu yao wakati wa shida na maumivu.*
*Maisha ni Zawadi*

*Kuanzia sasa kabla hujaongea maneno yasiyo ya huruma -*
*Mfukirie Bubu au asiyeongea.*
*Kabla hujalalamikia radha mbaya ya chakula kilicho mbele yako
- Mfikirie mtu asiye na chakula
.*
*Kabla hujalalamika kuhusu mume au mke wako
- Mfikirie anaye mlilia MUNGU apate mume au mke ila hajapata.*
♂
*Leo hii kabla hujalalamika kuhusu maisha au kuishi -*
*Mkumbuke fulani aliyekufa akiwa kichanga au kabla ya kuzaliwa.*
*Kabla hujalalamika kuhusu Watoto wako -*

*Mfikirie yule ambaye angetaka kuwa na mtoto lkn ni tasa au mgumba.*
♂
*Leo hii kabla hujalalamika kuhusu uchafu wa nyumba ambao haujafanywa na mtu fulani -*

*Wafikirie wale wanaolala mitaani kwenye mitaro, magofu, nk.*
*Kabla hujajisikia kuçhoshwa na kuendesha umbali mrefu*

*Mfikirie anayetembea kwa mguu umbali huo huo.*
♀
*Nawakati unapochoka na kulalamikia kazi yako -*
*Wafikirie wale wasio na ajira, wenye lemavu na wale wanaoitamani kazi uliyonayo-*
*Kumbuka sote tu watenda dhambi na tunawajika kwa MUUMBA*
*Na wakati maoni mbaya wanapokuingia kumbuka -*
*Mtangulize Mungu aliyeahi na karibu yako.*
*Na kabla hujafunga huu Ujumbe, tafadhari, watumie watu wengineo wengi au share ili nao wafurahie... Waweza kubadirisha mtazamo kuhusu maisha.*
*Imetafisiriwa na Mutakyahwa Kijoka (fb).*
*Kulikuwepo msichana kipofu
aliyechukia na kujichoka sana.*
*Alimchukia kila mtu isipokuwa mchumba wake. Mara zote alikuwa karibu naye.*

*Msicha huyo alimwambia mchumba wake, 'Kama ningebahatika kidogo
, ningekubali kuolewa na wewe.'*
*Siku moja, mtu ambaye hakumjua alimfadhiri macho 2.
Alipoondolewa bandeji kwenye vidonda na macho kupona kabisa, alifurahi kuona kila kitu, ikiwemo mchumba wake wa kiume.*
*Mchumba wake alimuuliza, sasa unaona kila kitu, ukubali kuolewa na mimi?'*

*Msichana Mwenye kuona sasa, alimgeukia mchumba wake na kugundua naye alikuwa Kipofu.
Ule mwonekano wa macho yaliyofumbwa kwa upofu,
yalimtisha msichana yule.
♂ Msichana yule hakutegemea hivyo. Ile fikra ya kuona mwinekano ule
wa upofu ulimfanya Msichana akatae
♂ kuolewa na yule mvulana kipofu
.**Mchumba wake aliondoka kwa kilio na baada siku chache badae alimwandikia Msichana huyo kijibarua ✍ ukisema: 'Yajali sana macho yako, rafiki yangu, si unaona sasa ni macho yako, hapo awali yalikuwa yakwangu.'*

*Hivi ndivyo ubongo wa binadamu yeyote kufanya kazi pale kipato, cheo au aina yoyote ya fursa pindi inapojitokeza.*

*Ni wachache tu hukumbuka maisha yaliyopita, na kukumbuka wale walikuwa karibu yao wakati wa shida na maumivu.*

*Maisha ni Zawadi*

*Kuanzia sasa kabla hujaongea maneno yasiyo ya huruma -*

*Mfukirie Bubu au asiyeongea.*

*Kabla hujalalamikia radha mbaya ya chakula kilicho mbele yako
- Mfikirie mtu asiye na chakula
.**Kabla hujalalamika kuhusu mume au mke wako
- Mfikirie anaye mlilia MUNGU apate mume au mke ila hajapata.*
♂*Leo hii kabla hujalalamika kuhusu maisha au kuishi -*

*Mkumbuke fulani aliyekufa akiwa kichanga au kabla ya kuzaliwa.*

*Kabla hujalalamika kuhusu Watoto wako -*

*Mfikirie yule ambaye angetaka kuwa na mtoto lkn ni tasa au mgumba.*

♂*Leo hii kabla hujalalamika kuhusu uchafu wa nyumba ambao haujafanywa na mtu fulani -*

*Wafikirie wale wanaolala mitaani kwenye mitaro, magofu, nk.*
*Kabla hujajisikia kuçhoshwa na kuendesha umbali mrefu*

*Mfikirie anayetembea kwa mguu umbali huo huo.*
♀*Nawakati unapochoka na kulalamikia kazi yako -*