Hapa ukioa lazima uvunjwe

Hapa ukioa lazima uvunjwe

mwakaf

Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
54
Reaction score
9
mhitimu wa mafunzo ya awali ya askari Polisi akijiandaa kuvunja vigae kwa kupinga ngumi jana jiji Moshi alipokuwa akifanya onyesho la kukakamavu
E.jpg
 
Mambo ya kutumia nguvu ni kwa makomandoo tu, lakini Askari wanakuja kudili na raia wanahitaji kufundishwa Police Psychology zaidi.
 
mhitimu wa mafunzo ya awali ya askari Polisi akijiandaa kuvunja vigae kwa kupinga ngumi jana jiji Moshi alipokuwa akifanya onyesho la kukakamavu
E.jpg

Na hivi Pinda amewaruhusu kutupiga, tutapigwa hadi tuseme híki nini.!??
 
Wizi mtu. How can we expect them to serve and protect the community if they themselves are the bad guys? Never trust Police, and Politicians.
 
hii nilipita jana pale ccp moshi nikaona watu wengi kumbe walikuwa wana graduate kwa mbwembwe hivi
 
Back
Top Bottom