Habari ya weekend.
Unakuwa na mpenzi/mke/mume wako, ambaye ni mtu wa visasi tu.
Yaani akisikia tetesi kwamba umechepuka, yeye anaenda kulala uwanja wa fisi, akiona umerudi saa mbili usiku, basi jua kesho yake atarudi saa nane usiku, ukimuuliza atakujibu, mbona wewe jana ulichelewa?
Mapenzi ya namna hii yana uwa wengi kwa virusi vya ukimwi, ongea na mwenzio, mapenzi sio kukomeshana.
Uko na nani usiku huu?
Ha Ha Ha HaBora ukosee kujenga kuliko ukosee kuoa..
Bora ukosee kujenga kuliko ukosee kuoa..
Mademu wa uswazi ndo wenye tabia hizi.Maisha kwao ni tit for tat. Wao huita droo kwa droo!Usiombe kuwa nao kwenye mahusiano.Habari ya weekend.
Unakuwa na mpenzi/mke/Mume wako, ambaye ni mtu wa visasi tu.
Yaani akisikia tetesi kwamba umechepuka, yeye anaenda kulala uwanja wa Fisi, akiona umerudi Saa mbili usiku, basi jua kesho yake atarudi saa nane usiku, ukimuuliza atakujibu, mbona wewe jana ulichelewa.
Mapenzi ya namna hii yana uwa wengi kwa virusi vya Ukimwi,ongea na mwenzio, mapenzi sio kukomeshana.Uko na nani usiku huu.