BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,321
- 11,315
Kama wengi tunavyojua katika ulimwengu wa biashara, unaweza kukuta mmoja ana wazo zuri la biashara lenye kuleta faida kubwa pengine ndani ya wiki, lakini hana mtaji mkubwa wa kutosha.
Mwingine ana mtaji mkubwa, lakini hana mawazo mazuri ya biashara au michongo ya biashara yenye kuleta maximum profit.
Basi hapa embu katika wazo lako la biashara ulivyofanya mahesabu yako, je faida itapatikana kiasi gani na kwa muda gani na mtaji kiasi gani, huna haja ya kusema wazo lako kama utaona sio ishu sana. Pia uwe muwazi kama utataka partnership katika biashara hio ili mtu akija kukutafuta inbox basi ajue.
NB: mitaji hapa nayozungumzia haswa ni kuanzia milioni labda 40, 50 ....100 na kuendelea.