Hapa tulipigwa ndugu zangu!

Mzee alikua hajaelewa kama ameulizwa yeye.
Alimtaja na akasema kuwa ni swali lake.Msikilize muuliza swali hapo mwanzo anapoanza kuuliza swali.Pia mwangalie mzee baada ya kutajwa jina lake alianza kuchukua notes.
 
hahahaha acheni ujinga wenu mzee kasha sema yuko vizuri kwa kimombo japo shahidi zinaonesha anasua sua basi tukubali tu
 
Alimtaja na akasema kuwa ni swali lake.Msikilize muuliza swali hapo mwanzo anapoanza kuuliza swali.
badae alimtaja mseveni jamaa akahisi yeye kasifiwa na swali liko kwa mu7
 
hahahaha acheni ujinga wenu mzee kasha sema yuko vizuri kwa kimombo japo shahidi zinaonesha anasua sua basi tukubali tu

🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 you know.... kumbe hata Uingereza hujafika
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaaaaa, swali refu kama basi la mwendokasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…