Hapa watu wa itifaki walikuwa wamweleze mapema Bi. Salma kwamba kutakuwa na kuvalishwa brooch na mwanamme ili avalie nguo zinazoweza kuendana na tukio (kama jacket la juu, au vazi lenye mfuko) bila ya kuibuka kwa hali kama hii
Lakini inawezekana pia aliambiwa lakini akachemsha, manake nae hajambo
Alituvalia koti lenye ngozi ya mnyama katika nchi za watu zinazopinga matumizi kama hayo ya wanyama.
Alituaibisha