Hapa sijapajua

Rwanda hiyo karibu na Kampala njia ya kwenda Nairobi kabla kujafika Dar es Salaam ukikaribia utakuta wameendika Kinshasa
Utakuwa na A ya geography. No. Utakuwa vasco da gama wewe jamaa
 
Ama kweli weye robot la matope ulipata bashite huko shuleni,haujapajua hapo?
Hapo si Koromije primary,kama tulivyofundishwa katika somo la historia Dar~es salaam.
naipenda jiefu
 
Rwanda hiyo karibu na Kampala njia ya kwenda Nairobi kabla kujafika Dar es Salaam ukikaribia utakuta wameendika Kinshasa
Duuuu nauli shilling ngapi mpaka nifike nipo Nanyumbu Mtwara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…