Hapa Pangemfaa Yule Bondia

Hapa Pangemfaa Yule Bondia

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
10934026_806868122683544_4598954189047803035_n.jpg
 
Aibu kubwa kwa taifa ambalo VX V8 ndio magari rasmi ya viongozi wa kada mbalimbali serikalini likiwamo jeshi na jeshi la polisi na magereza
 
Aibu kubwa kwa taifa ambalo VX V8 ndio magari rasmi ya viongozi wa kada mbalimbali serikalini likiwamo jeshi na jeshi la polisi na magereza
si aibu kwa sababu hakipo Dar au Chalinze
 
Aibu kubwa kwa taifa ambalo VX V8 ndio magari rasmi ya viongozi wa kada mbalimbali serikalini likiwamo jeshi na jeshi la polisi na magereza

Na hapo ni mpakani na Burundi. Taswira ya kwanza ya Tanzania mgeni anayoiona anapoingia nchini.
 
Na hapo ni mpakani na Burundi. Taswira ya kwanza ya Tanzania mgeni anayoiona anapoingia nchini.
huenda hata polisi wa hapo ni wakimbizi ndio maana wamejengewa kituo kama cha kupita
 
Jeshi lenyewe la Polisi linahitaji mageuzi ya hali ya juu sana
 
kwani umeambiwa huyo police ndo kwao hapo mtuhumiwa atakae kamwata na kufungiwa humo ndo atakae pata tabu
Sema mtuhumiwa atakayekosa hela ya kuhonga ndiye atakayesulubika hapo,tena awe hajanywa maji ya kutosha siku hiyo,maana ukiwa na mkojo wa kutosha polisi watakuta kituo kimegeuka kifusi asubuhi ya kesho.
 
Back
Top Bottom