Ph-25
JF-Expert Member
- Nov 19, 2012
- 1,159
- 540
kuna ndugu yangu ana ukimwi tena sio nasikia yani najua na vipimo vyake vyote navijua.
alianza kutumia dawa tangu nikiwa form1 mpaka saizi.
kaja huku kijinini kaanza kugawa utamu ovyo kwa washikaji, mpaka kapata mimba kajifungua, sijui hali ya mtoto kwa sasa ila hapo ndio napochanganyikiwa sasa.
jamaa alie kua anatembea nae kapima zaidi ya mala tatu, hajakutwa na maambukizi mpaka sasa yapata mwaka mzima.
kuna mzee anaugua ukimwi kwa miaka mingi sana, nae anatumia dawa,yeye anawake wawili, mmoja huyu mkubwa kapima mala sita na kila mwaka na miezi anapimwa hakutwi na maambukizi,
kuna jamaa yangu ameathirika miaka kama mi3 iliyo isha, nae anatumia dawa, mkewe inasemekana nae ni mgonjwa japo sija confirm, ila michepuko yote ya jamaa haina ngoma, huyo mchepuko wake mmoja naujua na umepima mala nne lakini hauna hata maralia
sasa nabaki najiuliza maswali wala sipati jibu.
je vipimo haviko sawa au wapimaji hawajui kazi yao vyema.?
nikaenda kwa dr. na kusoma online kuhusu hilo swala. nikapata majibu yafatayo.
mtu anae tumia dawa za arvs hanauwezo w a kuambukiza mwingine kwa asilimia kubwa, yani anaweza kumuambukiza mtu kwa asilimia 6% tu, na kuto muambikiza kwa 94%.
wakati utumizi wa condom unaweza kukusaidia usiambukizwe kwa 76% tu.
ila binafsi naona kama majibu haya hayatoshi kwangu, ndio maana nikaona labda tushee na nyie kidogo labda mnaweza nipa japo kaneno kidogo kuhusu ilo. mana niko confused sana.