Itabidi kila mkoa ijulikane tarehe ya uhuru wake. CCM wanasema sio nchi hiyo na ule Mkoa wa Zanzibar uliyojitangazia unchi ni wasaliti kwa mikoa mengine!
Tena dosari kubwa kabisa. Hakuna popote kwenye vitabu vya historia utakapokuta nchi iliyopata uhuru kutoka kwa Waingereza inayoitwa Tanzania mainland. Huu ni unafiki wa wanasiasa wetu uchwara. Jaji Warioba kawaumbua juzi Bungeni. Tunaitaka Tanganyika yetu irudi haraka sana.