Hapa nkrumah vipi?

...anathaminisha mauwezo...
 
hivi ndio vichwa vya africa ila nadhani kwame alikua zaidi ya mwalimu. hivi kwame alishawahi kuja tz?
 
Tunahitaji KINANAKWAME NA NYEREREM HAWAPO TENA tusubiuri mafisadi tuuuuuu.Tusubiri majanga tuuuuuu
 
hivi ndio vichwa vya africa ila nadhani kwame alikua zaidi ya mwalimu. Hivi kwame alishawahi kuja tz?
sina hakika kama nkrumah aliwahi kuitembelea tanzania maana aliiongoza ghana kwa muda mfupi toka mwaka 1958 hadi mwaka 1965 alipopinduliwa na jeshi.aliishi uhamishoni nchini guinea hadi alipofariki mwaka 1972.
 
Hivi kwamen nkuruma kuna jambo gani alofanya likampa umaarufu hivyo? Maana historia yake sinayo kiviile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…