hapa nimewakomesha....!

Sasa uiifunga hapo si utakuta wametoa kilakitu wakubakishie bodi ya gari..
 
waswahili nguvu nyingi akili kidogo..........................
 
Hivi siku hizi bado wanaiba magari? Nafikiri wizi wa vifaa ndiyo mkubwa zaidi kuliko wizi wa gari lenyewe. Utakuta gari lako lipo hapo lakni hakuna power window, radio, taa na vifaa vingine. Tena wakiona umefunga hivyo watakucheka tu, na kuchukua vya kwo na kuishia.
 
Wataiba radio, injini, tairi n.k wakuachie kopo
 
Ili kukukomoa watatafuta petroli na kuliunguza hilo gari,mweeeee!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…