Hapa nilimjibu vizuri au nilikosea ?

Ila mi sijapenda umekuja kunisema uku lol si ungeniambia tuu mwenyew[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Yani wewe mi ningemjibu ofisi hiyo. . Na nika exaggerate kila kitu, nione anavyoingia line, mpaka nile papuchi

Wadada siku hz wamekuwa too cheap [emoji57]
 
naona umetegesha nyavu... haya wadada jamaa ndo ashajinadi kuwa ana kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…