bangi mbaya sana mkuu
dodoma unaijua vizuri wewe ?
mbeya hiyo mkuu na picha imepigwa ukiwa unaelekea mlima LOLEZA
Rombo ndio wapi tena?
Nigeria 🙈🙈
Unapakana kwenu tena?
Yaani kwa kuwa labda nimekosea jibu basi mimi natumia bangi? K.m. kweli wewe!
Hahaha sasa hapo uzuri nini hasa?Oh !! nimeipenda mandhari ..... jiji zuri !!
Mkuu.. huoni mawingu yalivyomwagika na background ya milima ilvyoshona!! I wish ni kawekeze hapo...!Hahaha sasa hapo uzuri nini hasa?
Mkuu.. huoni mawingu yalivyomwagika na background ya milima ilvyoshona!! I wish ni kawekeze hapo...![/QUOTE
Kweli mandhari nzuri toka mawinguni ila sasa ukifika field.....
Mkuu hiyo hakuna shida... ntayamudu tu!!Mkuu.. huoni mawingu yalivyomwagika na background ya milima ilvyoshona!! I wish ni kawekeze hapo...![/QUOTE
Kweli mandhari nzuri toka mawinguni ila sasa ukifika field.....
sioiringa, muonekano wa kutokea jiwe gangilonga.
Over