Hapa ni wapi?

hapa ni mto kikavu . ni njia ya kwenda moshi kama unatokea Arusha.
 
usiilaze hii thread hadi kesho, kama hakuna jibu bora tukupe mji!.
hapo ni barabarani
 
Hapo ni UPOROTO, BAADA tu ya njia panda(kama ukitokea Tukuyu)
Wakuu tuendelee kuwekeana changamoto.

Kumbe bado kumbukumbu yangu ni nzuri. Ni mojawapo ya eneo lenye mandhari nzuri sana hapa tz
 
Hapo ni Makambako karibia na Njombe.
Alafu ni mida ya saa2 kasorobo asubuhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…