babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,285
- 20,840
Mafinga hii,hapo dere huwa analala kabisa gari iko kibati mkeka huo
Dom -njia ya mtera zamani kiangazi utakuta hivyo.
Njombe karibu na HQ ya Tanwat njiapanda ya LupembeHii kama sio Mafinga basi ni Nyororo...
βοΈHii kama Sao Hill...
Hili eneo limefanana na maeno fulani Mississippi (Roosevelt State Park) ukiwa unapita I-20...
βοΈNear Sao hill mufindi
si tandahimba ntwara hapa bwana wewe
Daah ila Dar bado kutupa uchafu ni problemππππππ ila
Hayo mambo ya especially Mbagala sio poa...
Sa hivi mbagala ipo saaafiiii hiyo picha ya mda kidogo nahisi πππππππ
Afrika Kusini. Ndiyo wanapenda sana hizo Nissan NP200 bakkies.Hapa je..?
View attachment 2788699
Njombe to makambako
Gari zimegeuka kambale duh π₯π₯π₯π₯Hapa je..?
View attachment 2788699
Ni kama kweli vile!Ni kama Dodoma njia za Mpwapwa