Yaani yanampa mwalimu suspenseπ€£π€£π€£π€£π€£π€£,amalize mwenyewe swaliMajibu yako...
If upo shule unachapwa kuliko yule aliyekosa swali kabisa...πππππππππππ ... majibu ya kuamsha hisia za walimu haya
Kuna watu wamesema ni hapa hapa TZ mkuuKwa rangi hiyo ya maji na uoto huo itakuwa Uganda
Ubungo MwendokasiHapa ni wapi..
View attachment 2788698
Yaan mtu anajibu hivo makusudi kumchanganya mwalimu.. anajua kukoseshwa ni ngumu.πππYaani yanampa mwalimu suspenseπ€£π€£π€£π€£π€£π€£,amalize mwenyewe swali
ππππ umejitahidiUbungo Mwendokasi
πππππ umejitahidi
Usikubali kirahisi,hapo tukiistudy hiyo picha upande wa north East,utaona Kuna Nguzo tatu za umeme,ambazo kimsingi Jangwani hazipo,ukiangalia vizuri north west Kuna kimwinuko ambacho pia jangwani hakipo,,,Kwa hiyo hapa pamefanana sana na Jangwani lkn sio jangwaniSema hapa hata me sipajua ngoja nikubali tu ππππ
Hizo ni mbinu za kivitaπ€£Yaan mtu anajibu hivo makusudi kumchanganya mwalimu.. anajua kukoseshwa ni ngumu.πππ
Sawa mtaalamu wa photographyUsikubali kirahisi,hapo tukiistudy hiyo picha upande wa north East,utaona Kuna Nguzo tatu za umeme,ambazo kimsingi Jangwani hazipo,ukiangalia vizuri north west Kuna kimwinuko ambacho pia jangwani hakipo,,,Kwa hiyo hapa pamefanana sana na Jangwani lkn sio jangwani
Near Sao hill mufindi
Ngoja tukupe za kufikilisha kwanza tuone je ni kweli hayo .. nakutafutia na kilosa map ππππ. Hii ni wapi .. ukitaja mkoa tuu basi toa na evidenceLeteni nyingi nyingi basi....mmenikumbusha nilivyokuwa mwanafunzi Hilo somo la photography interpretation lilikuwa kama juice ya tende
Maswali ya geography map..Hizo ni mbinu za kivitaπ€£
Na hapa ni wapi..?View attachment 2788680
Umeshawahi kufika kilwa kivinje maana umeenda direct...ππKilwa kivinje hii...
Bagamoyo, Zenji maeneo ya ngome kongwe, Lindi kwa sasa ndio unaweza ona majengo ya kale kama haya...
Umepatia mkoa,
Ongeza nyama....
Sasa ni Mzee mimi.,,na sitafuti maksi,am doing it for funπ€£π€£Maswali ya geography map..
Ndo mtu anajibu kama hvi pale kwa activities.. anajibu na aweki evidence... what means πππππππππ
Hapa ni Mbagala alipopaimba DiamondNgoja tukupe za kufikilisha kwanza tuone je ni kweli hayo .. nakutafutia na kilosa map ππππ. Hii ni wapi .. ukitaja mkoa tuu basi toa na evidenceView attachment 2788701
Maeneo gan mkuu hio njia nimepita pita kidogoUmepatia mkoa,
Ongeza nyama....